top of page

Maisha Yetu ni Mafupi

1. Maisha yetu ni mafupi, kweli hapa duniani twaishi tukijihadhari Mwokozi yu karibu kuja.x2

Ee Bwana twaomba tuokoe dhambi zetu ni nyingi sana, utupe neema Mungu wetu kila siku tukuishie x2

2. Wingu kuu limetuzunguka sote tuko hatarini kama Yo-ona tumemezwa naye yule mwovu shetani x2

3. Watoto vijana wazee sote tumepungukiwa na utukufu wako Bwana, tuonyeshe njia ya kweli x2

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page