top of page

Maisha Matamu

Na njia mbinguni kweli ni nyembamba kabisa na wale walio nao ni watu wake Mungu tu x2

1. Maisha matamu kweli yako kwake Yesu Kristo ukimjua Mwokozi kweli ni maisha matamu.

2. Mwili wako ni mzuri lakini utakufa tu hata Mali yako nyingii nayo utaicha tu.

3. Bahari na nchi kavu vitatoweka kabisa vitu vyote vya dunia navyo vitatoweka tu.

4. Shetani anatuita ili tumwabudu yeye tule matunda ya dhambi navyo vitatoweka tu.

5. Jamani tutubuni tupate kufika mbinguni tukamwone Mwokozi kwenye kiti chake cha enzi.

2 views0 comments

Commentaires

Noté 0 étoile sur 5.
Pas encore de note

Ajouter une note
bottom of page