top of page

Maharusi Wanavyopendeza

Ona jinsi (jinsi) wanavyopendeza maharusi wapendeza sana wanaingia hekaluni mwa bwana

kufunga ndoa yao x2

Karibuni maharusi(kwa maringo)muingie kwa furaha,mjekutimiza agano lenu, agano la milele x2

1. Sisi leo ndio mashahidi mnapofunga ndoa yenu,hivyo mdumu katika ndoa agano la milele.

2. mumshirikishe yesu kristo pale msipoelewa,ili atawale ndoa yenu, atawapatanisha.

3. Ndoa mnayo ifunga leo iweni taa kwa jamii,iwamulike iwafundishe,ndoa ni sakramenti

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page