top of page

Luo Mass



Bwana tuhurumie - Bwana tuhurumie, Bwana tuhurumie x 2

Kristu tuhurumie - Kristu tuhurumie, Kristu tuhurumie x 2

Bwana tuhurumie Bwana tuhurumie, Bwana tuhurumie x 2


UTUKUFU

Utukufu kwa Mungu juu na amani kwa watu, wenye mapenzi mema x 2


  1. Tunakusifu, tunakuheshimu, tunakuabudu

  2. Tunakutukuza, tunakushukuru, mfalme wa mbinguni

  3. Ewe Bwana Mungu, mfalme wa mbinguni, Mungu Baba mwenyezi

  4. Ewe Yesu Kristu, mwana wa pekee, mwana wake Baba

  5. Mwenye kuondoa dhambi za dunia utuhurumie

  6. Ewe Bwana Mungu mwenye rehema nyingi pokea ombi letu

  7. Peke yako Bwana, peke yako mkuu, peke yako mkombozi

  8. Pamoja na yeye, roho mtakatifu, milele amina

62 views0 comments

コメント

5つ星のうち0と評価されています。
まだ評価がありません

評価を追加
bottom of page