top of page

Leteni Sadaka Kamili



Leteni sadaka kamili ghalani x2 (Ili chakula kiwemo katika nyumba yangu, asema Bwana, Bwana wa majeshi) x2

  1. Mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana, Nitafungua milango ya mbingu, asema Bwana Na kuwamwagia baraka tele, asema Bwana

  2. Mimi ndimi mgawa wa vipaji, asema bwana, Nitawaongezea maarifa, asema Bwana Ya kuyashinda magumu yoyote, asema Bwana

  3. Mtakachokiomba nitawapa, asema bwana, Nitawapa vyeo na mali nyingi, asema Bwana Nakuuondoa umasikini, asema Bwana

  4. Nitawalinda na kuwasitawisha, asema Bwana, Nanyi mtazaa matunda bora, asema Bwana Yatakayo dumu milele yote, asema Bwana

7 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page