top of page

Leo Yatimizwa


1. Leo yatimizwa maneno ya kale Masihi kazaliwa, heko kwake Isaya alisema Bikira atamzaa (nasi) tufurahi na kumwimbia atokaye Mbinguni

Shangwe kuu tumpokeapo mgeni Mwana wa Mungu Kristu (tumshangilie) heko heko kwa bikira na mwanaye Yesu Kristu na tumshangilieni

2. Herode upoe moto, usipayuke bure, Yeye mfalme wa Mbinguni hana haja na wako

3. Mwenye dhambi futa jasho takubebea mzigo, Damu itafanya kazi, dhambi tatusamehe

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page