top of page

Leo ni Furaha

(Leo ni furaha Bwana Yesu amezaliwa, katika mji wa Bethlehemu) x2

1. Tazama Malaika yule wa Bwana, kazileta habari kwa wachungaji,

Walifurahi mbio wakatoka kwenda Bethlehemu.

2. Mtoto Yule Yesu wakamwona, Yusufu na Maria pamoja naye,

Wakamsujudu, wakamtolea na zawadi zao.

3. Emmanueli Mungu pamoja nasi, aliyeshuka chini kutukomboa,

Tumsifu yeye kwa ngoma bango pia baragumu.

1 view0 comments

Comentarios

Obtuvo 0 de 5 estrellas.
Aún no hay calificaciones

Agrega una calificación
bottom of page