top of page

Lala Vyema Rafiki

Lala rafiki, lala mpenzi, laza kichwa chako kwa Mwokozi, lala vyema, lala usingizi (lala) lala lala vyema.


Lala mpenzi, lala lala vyema. ……………… lala lala lala vyema. Lala kwa Bwana, lala lala vyema


Ah! Mpenzi, sisi twakupenda, si kama akupendavyo Bwana, mapenzi yake yazidi sana, (lala) lala lala vyema.

28 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page