top of page

Lala Salama

Lala mpenzi ulale salama, kwani ya dunia umeimaliza;

Umerudi mbele zake Mungu, lala lala salama x2

Lala salama – lala lala salama

Mpendwa wetu – lala lala salama

Oh ndugu /dada yetu…. siku ya mwisho…. huko paradiso…..

2. Sisi wenzako wale tumebaki, tuna imani umefika kwa Baba; makao yetu ni huko mbinguni, lala lala salama x2

3. Nasi wakristu wale tumebaki, tuzidi kumwamini Mwokozi; ili nasi tuishi mbinguni….

4. Mwokozi wetu alitangulia, kwenda kuandaa makao; ili tuishi mbinguni….

5 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page