top of page

Lala Kitoto cha Mbingu


  1. Lala kitoto cha Mbingu, lala sinzia lala Malaika wake Mungu atakutunzia Lala kitoto cha Mbingu, lala sinzia lala Malaika wake Mungu atakutunzia

  2. Lala kitoto lala, sinzia mtoto Malaika wa Mungu atakutunzia Lala Mwana wa Mungu, Mungu wetu sinzia Malaika wake Mungu atakutunzia

  3. Maria na Yusufu, wambusu kitoto wachungaji wanapiga magoti kusujudia Ni mfalme wa amani, mshauri wa amani Mungu Mwenyezi Baba yetu, wa milele milele

  4. Nasi twendeni hima, tukamwone mtoto Tumsalimie yeye, pamoja naye Mama Maria Tumsujudie Mfalme, tumtolee zawadi, Ndiye Mkombozi aliyekuja, kwa ajili yetu sisi


1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page