top of page

Kwenye Mlima wa Mizeituni

  1. Kwenye mlima wa mizeituni, Yesu aliona huzuni, jasho nyingi, ilimtoka Bwana, kama matone ya damu.

  2. Kajitupa chini akasali, akasema kwa Baba yake, Baba yangu uondoe kwangu, kikombe chenye mateso.

  3. Wanafunzi wake walilala, naye Yesu kawaambia akasema salini msije, ingia majaribuni.

  4. Alisali tena Baba yangu nakubali unavyotaka, si mapenzi yangu yatimie, bali upendavyo wewe.

  5. Yesu mfano bora wa kusali, tukuige majaribuni, tujaliwe nguvu ya kufanya, yote atakayo Mungu.

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page