top of page

Kuteswa Kwake Bwana

1.Kuteswa kwake Bwana, kulinipa wakovu, siachi kumwimbia pote niendapo x 2

Aliyeniokoa– ni Yesu; aliyevumilia –mateso aliyemwaga damu – mtini; ndiye Bwana wangu x 2.

2. Kwa kunipenda mimi aliwambwa akafa, nipendo la ajabu; kunifilia x 2

3. Rohoni nimeoshwa, kwa damu ya dhamani, makosa yameoshwa naye Mwokozi.x2

10 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page