top of page

Kuteswa kwake Bwana

  1. Kuteswa kwake Bwana kulinipa wokovu Siachi kumwimbia pote niendapo *2 Aliyeniokoa ni Yesu Aliyevumilia mateso Aliyemwaga damu mtini, Ndiye(ndiye) Bwana Wangu *2

  2. Kwa kunipenda mimi aliwambwa akafa, Ni pendo la ajabu kunifia *2

  3. Rohoni nimeoshwa kwa damu ya thamana, makosa yameoshwa naye mwokozi *2

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page