top of page

Kushiriki Mateso

Kushiriki mateso ya Kristo , ndiyo ilikuwa hamu yake Fransisko , alivumilia hayo yote, akiimarishwa na Bwana Yesu Kristo (kwa shangwe ) anafurahiwa , pamoja na malaika wa mbinguni (wote) kwa shangwe ) na vigelele tumpigie Baba yetu Fransisko .(Tumwimbie na tumpigie makofi , yeye ndiye Baba na mwombezi wetu x2

  1. Katika raha na tabu alimtazama Yesu katika toba na sala, hata akiwa mgonjwa, hata akiwa mpweke

  2. Akiwa na maskini, alipodharauliwa, uchungu nayo furaha, katika hofu na giza

  3. Akiwabusu wagonjwa, akiwa katika shida, alipoachwa na wote, katika madonda yako

  4. Akiwa anasafiri, akiwa na ndugu zake, akiwahubiria watu, na pia alipokufa


0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page