top of page

Kumekucha


  1. Kumekucha ni sikukuu ya ajabu leo hii x2

  2. Twimbe wote ni sikukuu ya ajabu leoo hii, tufurahi ni sikukuu ya ajabu leo hii

  3. Mungu wetu ni sikukuu ya ajabu leo hii, katukuka ni sikukuu ya ajabu leo hii

  4. Katupenda, ni sikukuu ya ajabu leo hii, katuinua,ni sikukuu ya ajabu leo hii

  5. Pendo gani, ni sikukuu ya ajabu leo hii. ametupa, ni sikukuu ya ajabu leo hii

  6. Raha tele, ni sikukuu ya ajabu leo hii, Mustarehe, ni sikukuu ya ajabu leo hii

23 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page