top of page

Kristu pasaka Wetu

Aleluya sote (sote tuimbe) aleluya (aleluya x3) x2 (Kristu pasaka) wetu amekwisha kutolewa kuwa sadaka basi tuifanye karamu katika Bwana x2

1. Kristu amefufuka watu wote duniani wanafurahi na nguvu zake shetani kifo amekishinda.

2. Pote ulimwenguni binadamu wanaimba nyimbo za shangwe, huko juu mbinguni malaika wamtukuza

3. Kwa msa-laba wake Bwana Yesu-tulipo-kee wokovu wetu x2.

(Ndiyo a-lama ya wote wakristu-wale wa kale hata wa leo x2)

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page