top of page

Kristu Mfalme

  1. Ulimwengu unakiri mbingu zinahubiri kwamba yeye ni mwanzo na kwamba huyo huyo ni mwisho Kwa kuwa huyo ni Alfa na bado ni Omega kwamba yeye ni mwanzo na kwamba huyo huyo ni mwisho

  2. Anatawala dunia anamiliki mbingu . . . Aliyekuwapo mwanzo, aliyepo na ajaye . . .

  3. Anayesujudiwa na watawala wa nchi . . . Anayewadhamini hata wamkataao . . .

  4. Tuliyemjengea nyumba ya kumtukuza . . . Akavutiwa nayo- na ameibariki . . .

  5. Tuingie kwa shangwe twende kumshangilia.. . Turukeruke nyumba tufurahi na malaika. .

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page