top of page

Kongoi Missing




Kongoi mising Cheptalel kwandanyo

(Kongoi mising (haiya haiya) kongoi missing kiptayanyo) x2

(Kongoi we kongoi cheptalel (kongoi) Kongoi we Baba kongoi missing) x2 {Twakushukuru Mungu, maana we u mwema Kongoi we Baba kongoi mising } x2


1. Wakati wa majonzi, wewe ndiwe tulizo, Wakati wa hasira wewe ni burudisho (hakika)

Wakati wote Baba wewe ni tegemeo


2. Giza likitokea wewe ndiwe mwangaza, magonjwa yakijiri wewe ndiwe tabibu…

Wakati wote Baba wewe ni tegemeo


3. Adui zangu wote umewaaibisha, japo ni wengi sana kama nywele za kichwa . ..

Wakati wote Baba wewe ni tegemeo


4. Wakati wa- njaa wewe ni msaada, wajane mayatima wewe unawalinda wote…

Wakati wote Baba wewe ni tegemeo

28 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page