top of page

Kondoo Wangu

Mimi nawajua, nao wanijua nami nitawapa uzima wa milele, mimi nawajua na wao wanijua x2

1. Mimi ndimi mchungaji mwema, nao walio wangu, mimi nawajua.

2. Yesu ni mchungaji mwenye nguvu, ya kuwalinda kondoo wanaomfwata.

3. Baba yangu aliyenipa, ni mkuu, kuliko wote hata na milele.

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page