top of page

Kisha Nikaona Mbingu Mpya

Kisha nikaona mbingu mpya na Nchi mpya x2. Nikauona mji(mji ule) ule mtakatifu

(mtakatifu) Yerusalemu mpya ukishuka toka mbinguni x2

1. Kwa maana mbingu za kwanza na nchi za kwanza zimekwisha kupita wala hapana bahari tena.

2. Nikasikia sauti kubwa ikitoka kwenye kiti cha enzi tazama maskani yake Mungu.

3. Naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao naye atayafuta machozi katika macho yao.

4. Mauti maombolezo kilio maumivu hayatakuwapo, tazama yote yamekuwa mapya.

5 views0 comments

Commentaires

Noté 0 étoile sur 5.
Pas encore de note

Ajouter une note
bottom of page