top of page

Kisha Nikaona

Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya x2 (Nikauona mji (mji ule), ule mtakatifu Jerusalem mpya ukishuka toka mbinguni) x2

  1. Kwa maana mbingu ya kwanza na nchi ya kwanza, Zimekwisha kupita, wala hapana bahari tena

  2. Nikasikia sauti kubwa ikitoka, kwenye kiti cha enzi, tazama maskani yake Mungu

  3. Naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao, Naye atayafuta, machozi katika macho yao

  4. Mauti maombolezo kilio maumivu, hayatakuwapo, tazama yote yamekuwa mapya

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page