top of page

Kiongozi wangu Yesu

1. Kiongozi wangu Yesu niongoze mimi, niingie mlangoni mwako, nikayaone mema uliyoniahidi,kabla lango halijafungwa

Lango lile la mbinguni angalia mtumishi yule, lango lile (la mbinguni) kaza mwendo halijafungwa.

2. Ewe lango la mbinguni nakuomba Bwana, sasa unifungulie name, nipate kuingia hapo ulipo wewe, nifungulie kitini mwako

3. Ewe Bwana Mungu wangu ee Mwokozi wangu, unikumbuke enzini mwako, name nikaziimbe sifa zako milele, nifungulie kitini mwako

4. Ewe Roho Mfariji kiongozi wangu, mtuliza pia ya shidani, nipe uwezo wako nikimbilie enzi, bado lango halijafungwa

4 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page