top of page

Kila Kilicho Juu

Kila kilicho juu ya nchi- ni mali yake Bwana huko mbinguni x2

1. Na zaka za -Mungu zote za Mungu

Mazao ya -

Mifugo wa -

Bahari ya -


2. Sadaka ya -

Na fedha za -

Milima ya -

Wanyama wa -


3. Na watu wa -

Uhai wa -

Baraka za -

Upendo wa -


4. Masista wa -

Mapadri wa -

Watoto wa -

Wazazi wa -


5.Walimu wa -

Na nchi ya -

Faraja za -

Neema za -

17 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page