top of page

Kikombe Kile Tubarikicho

Kikombe kile tubarikicho ni ushirika wa damu ya Kristu x2

1. Tunamshukuru Mungu / kwa kikombe cha Baraka.

2. Hivyo tunashiriki / damu yake Kristu.

3. Tunapoumega mkate / tunashiriki mwili wake Kristu.

4. Kwa kuwa huo mkate ni mmoja / sisi, ingawa ni wengi tu mwili mmoja.

5. Maana sisi sote / twashiriki mkate huo huo .

6. Hamwezi kunywa kikombe cha Bwana / na pia kikombe cha shetani.

7. Hamwezi kushiriki katika meza ya Bwana / na pia katika meza ya shetani

21 views0 comments

コメント

5つ星のうち0と評価されています。
まだ評価がありません

評価を追加
bottom of page