top of page

Kiapo cha Ubatizo wangu

Kiapo cha Ubatizo wangu, kutoa si mimi ni wao;

Ni mzima nayo akili yangu, ninaapa mwenyewe leo.


Ninaapa.. Ninaapa, ninaapa mwenyewe leo x2


Naapa: Yesu ndiye Mwokozi sadaka, mlipa letu deni,

Mwenyewe ni mwana wa mwenyezi, naapa ni yangu imani.


Naapa kwa Mungu na kanisa, ni mtoto tangu ubatizo.

Ya jana nayatubu makosa, naapa ni mtu mpya, si mchezo.

10 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page