top of page

Kazaliwa Mtoto Mungu

Kazaliwa mtoto Mungu, binadamu wote furahini Kazaliwa Mtoto Mungu, umwendee wimbo wangu


Tangu elfu nne miaka walimwagua manabii Tangu elfu nne miaka twamngojea na kumtaka


Ni mzuri, ni mpendelevu, kitoto hicho Mwana mpenzi, Ni mzuri, ni mpendelevu, mwenye adhama, mtukufu


Banda la wanyama nyumbaye, Kitanda chake ni manyasi Banda la mnyama nyumbaye Kwa Mungu hali gani je?


Atakaye nyoyo zetu Zikae naye urafiki Atakaye nyoyo zetu Mara moja tumtoe tu

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page