top of page

Katika Mji Mwema

1. Katika mji mwema mbinguni kwa Mungu x2, ndiko ahadi zetu ziendako x2

(mji wangu wee, (mji wangu wee), uko mbinguni juu (uko mbinguni juu) nikiuona (nikiuona) ninautamani (ninautamani) furaha ya dhambi ( furaha ya dhambi) yanitia giza (yanitia giza), (nitauona lini mji mwema )x2 x2

2. Msikose kuomba Yesu asikia x2, yale maombi yetu tuombayo x2

3. Mwokozi wetu Yesu naye asikia,x2, naye atatufikisha mbinguni x2

4. Ninatamani sana kwenda mji huo x2, amabako nitaishi bila shida x2

14 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page