top of page

Karibu Yesu Wangu

Karibu Yesu wangu mpenzi wa rohoni mwangu, karibu Mwana wa Maria moyoni mwangu,

(Karibu Bwana,ingia moyoni mwangu,tuishi mimi nawe Bwana milele yote) x2

  1. Karibu moyoni mwangu ,unipe nguvu katika safari yangu uniongoze.

  2. Unipe matumaini, ee Yesu wangu ili nami siku moja nifike kwako.

  3. Nilinde niwe imara,na mwenye afya nikutumikie vyema ee Mungu wangu

  4. Katika shida na raha, uniongoze nisije nikajikwaa ulimi wangu.

4 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page