top of page

Karamuni kwa Imani





  1. Yumo humu, Mwokozi Yesu, Kwenye mzabibu, na ngano tamu Ni mpole ni mwema ni uzima

  2. Ekaristi ni jina lake, pamoja nasi, Mungu mwenyewe, ndani yetu nasi ndani yake

  3. Alitoa, jioni ile, kwa kumbukumbu, yake milele, tule tunywe wote tuokoke.

  4. Tugeuze, maisha yetu yafanane, na meza hii huruma, upendo msamaha

7 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page