top of page

Karamu ya Bwana Yesu




Karamu ya Bwana Yesu imekwisha andaliwa atualika Mwokozi twendeni tukampokee mwili na damu ya Yesu ni Ekaristi takatifu karibu Mwokozi Yesu uishibishe roho yangu yumo katika maumbo ya mkate na divai kwa mwili na damu yako nipate uzima tele

  1. Mwili wa Bwana Yesu ni chakula kweli cha uzima wanao mpokea wote wana uzima wa milele wanaompokea wote wana uzima wa milele

  2. Hii ndiyo karamu iliyoandaliwa na Yesu wanao mpokea wote wana uzima wa milele wanaompokea wote wana uzima wa milele

  3. Damu ya Bwana Yesu ni kinywaji kweli cha uzima wanao mpokea wote wana uzima wa milele wanaompokea wote wana uzima wa milele

27 views0 comments

Komentar

Dinilai 0 dari 5 bintang.
Belum ada penilaian

Tambahkan penilaian
bottom of page