top of page

Kando ya Mito

Kando ya mito ya Babeli ndiko tulikoketi, tukalia tulipo ikumbuka sayuni x2 (katika miti iliyo katikati yake tulivitundika vinubi vyetu x2

  1. Maana huko waliotuchukua mateka, walitaka tuwaimbie na waliotuonea walitaka furaha (tuimbieni baadhi ya nyimbo za sayuni x2

  2. Tuuimbeje wimbo wa Bwana, katika nchi ya ugeni ee Yerusalemu nikikusahau wewe (mkono wangu mkono wa kuume na usahau x2

  3. Ulimi wangu, ulimi wangu na ugandame, na kaa la kinywa changu nisipo kukumbuka nisipoikuza Yerusalemu (zaidi ya furaha, furaha yangu iliyo kuu x2

27 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page