top of page

Kama Vile Baba

Kama vile Baba yangu alivyo nituma mimi; nami nawatuma nyinyi ulimwenguni. Endeni ulimwenguni pote mkalihubiri injili kwa mataifa yote (wasikie neno langu mimi wawe na uzima tele x2).

  1. Hubirieni viumbe vyote waje kwangu; aaminiye na kubatizwa ataokoka.

  2. Muwafundishe kusali na kuwabatiza kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho.

  3. Watangazie habari njema ya wokovu wanifuate wafike kwangu siku ya mwisho.


1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page