top of page


Kama ayala aioneavyo kiu mito ya maji ndivyo ninavyokuonea kiu Mungu wangu x2


1. Ninatamani kushibishwa kwa mwili wako Bwana wangu, Ninatamani kuburudishwa kwa damu yako Mungu wangu


2. Umeniumba kwa ajili yako ndiyo maana sishibishwi,Utanituliza nafsi yangu Mungu wangu uliye hai


3. Karibu Bwana moyoni mwangu niishi kiekaristia, ili nipate raha ya kweli nikupendeze siku zote


10 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page