top of page

Kaa Pamoja Nasi Bwana

Wanafunzi wawili wa Ye-su (wa Yesu) walipokaribia Ema-u (Emau) Yesu alifanya kama ana-taka kuende-lea mbele wakamshawishi wakamshawishi wakisema


Kaa pamoja nasi Bwana, Kaa pamoja nasi Bwana Kaa pamoja nasi Bwana, kwa kuwa kumekutwa na mchana umekwisha


Akaingia ndani, akaingia ndani Na kukaa nao, na kukaa nao akaingia ndani, akaingia ndani na kukaa nao, na kukaa nao


Nasi twende na Yesu aliyefufuka maishani mwote tuishi naye Yesu (wakristu) nasi twende na Yesu aliyefufuka maishani mwote tuishi naye Yesu Mwo-ko-zi

5 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page