top of page

Juu ya Mlima Kalvari

1.Juu ya mlima kalvari ,Mwokozi alisulubiwa kwa ajili ya dhambi zetu yesu alihukumiwa (aa)x2

(Mwokozi wangu wa rehema unikumbuke nami Bwana, katika ufalme wako utakapokuja (aaa) x2

2. Mbinguni na viumbe vyote vilinyamaza kwa uzuni tendo hilo lenye kusikitisha (aaa) x2

3. Yesu wa upendo mwingi, unite kwa pendo lako uishi name siku zote za maisha yangu (aaa) x2

2 views0 comments

Σχόλια

Βαθμολογήθηκε με 0 από 5 αστέρια.
Δεν υπάρχουν ακόμη βαθμολογίες

Προσθέστε μια βαθμολογία
bottom of page