top of page

Jongeeni Kwa Karamu

1. Bwana Yesu ni mwili wa uzima tukilatutashibisha, Bwana Yesu ni damu ya uzima yeye ni uzima.

Songeeni kwa karamu ye jongeeni Ya upendo / tule mwili wa (Bwana Twende wote tunywe damu yake Bwana tupate uzima) x2

2. Tunapo kula mwili wake Bwana nakuinywa damu yake: tunatangaza kifo chake Bwana mpaka arudipo.

3. Alaye mwili wake Bwana wetu na kuinywa damu yake: akila bila kusitahili anajihukumu.

4. Unapokula mwili wake Bwana na kuinywa damu yake: unapata uzima wa milele tena hufi kamwe.

6 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page