top of page

Jiwe la Pembeni


Jiwe walokataa waashi, sasa ni jiwe la pembeni, jiwe hilo ni Yesu Masihi Mkombozi wa ulimwengu x2

  1. Yesu walimtesa, akafa msalabani, walimtesa bali sasa ni jiwe la pembeni.

  2. Ishara alizofanya, za kuwafufua wafu, walimdharau bali yeye ni jiwe la pembeni.

  3. Yesu utuokoe utuondolee dhambi, kwani twajua kwamba wewe ni jiwe la pembeni.

10 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page