top of page

Jitayarishe Ndugu Yangu

Atakaye / kula mwili wangu, kula na kunywa / damu yangu mimi atapata / uzima wa milele ndipo atasema / Bwana Mwokozi x2

  1. Jitayarishe Ndugu yangu, kumpokea Mwokozi Bwana Yesu aje kwako, jitayarishe leo x2

  2. Bwana Yesu ni hekalu, hekalu takatifu ndugu yangu tubu dhambi, umpokee Mwokozi x2

  3. Sasa Ndugu umekubali kumpokea mwokozi, Ndugu yangu tubu dhambi azaliwe moyoni mwako x2

14 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page