top of page

Jambo Hili

Jambo hili nina litamani kwa moyo wangu

wote x2 Maana katika msalaba, mna

wokovu x2 Kujua, kupenda na kuishi

milele yote x2

Bwana wewe Bwana,

mimi ninakuttumainia kama mlinzi wangu


Tawala maisha yangu,

nitende kwa uaminifu kazi yako wewe Bwana


Niongoze milele,

niwachunge kondoo wako, Bwana wasipotee

6 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page