top of page

  1. Bwana ninakuita najua unanisikia sala zangu na dua zangu zangu naamini zimekufikia Bwana

  2. Usiku na mchana nalia unanisikia, masononeko na malamamiko yangu unayasikia…

  3. Watu wananisema kwa maneno yao mabaya, wananizushia maneno ya uongo niabike…

  4. Najua siku moja Bwana wangu utaitika, utajibu maombi yangu na sala ninazoleta leo…

25 views0 comments

Comentários

Avaliado com 0 de 5 estrelas.
Ainda sem avaliações

Adicione uma avaliação
bottom of page