top of page

Inua macho

Inua macho yako utazame pande zote (za dunia) wote wanakusanyana wanakujia wewex2

1. Wanawako watakuja wakitoka mbali na wale binti zao wote watabebwa nyongani

2. Ndipo utakapoona na kutiwa nuru na moyo utatetemeka na kuvunjika

3. Wote watafurikia wakitoka Sheba dhabihu pia na uvumba vitatolewa

4. Watakutolea hizo tunu zote safi na pia watazintangaza sifa zake Bwana

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page