top of page

Inavuma Sauti ya Bwana

Bass: inavuma sauti ya Bwana – ALL: Inavuma sauti ya Bwana Mungu inavuma x 2 S/A:- Inaita.

ALL:- Inavuma sauti ya Bwana. T/B: Watumishi.

ALL:- Inavuma Bass:- inavuma sauti ya Bwana.

ALL:-Inavuma sauti ya Bwana Mungu inavuma inaita.

1. ……Inavuma sauti ya Bwana inaaita watumishi kweli inavuma x 2.

2. …… inaita wachungaji…… x 2

3. ……. Inaita viongozi……… x 2

4. …….. inaita makuhani……… x 2

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page