top of page

Sauti inavuma(kulia)sauti inavuma(kushoto)sauti inavuma pande zote zinatikisika ula. Dunia inanesa (kabisa) mbingu zinafurahi (mazima) watumwa wako huru wanaimba na kumshukuru Mungu. Hii ni siku yetu,yakubadilika na kutakata kuvua utu wa kale na kuvaa, kuvaa utu mpya leo. Kwa ni mwalimu wetu, walimninginiza na kumuua kaachana na kaburi nimzima kama alivyokuwa mwanzo. Tunaimba Aleluya Ee Aleluya tunaimba Aleluya tunamshukuru aliye juu. Ngoma tunamchezea tuna mchezea vigelegele vya nguvu vinaambatana na makofi tuna piga makofi makofi,makofi tu. 1. Ya kibinadamu kayaishi (kama) kama vile tulivyo sisi (sawa na) (kabisa) na halafu kabadilika akavaa mwili wa utukufu. 2. Lengo lake atuelimishe (hivi) hivi hivi tulivyo sasa,(kabisa tulivyo sasa)tujitahidi kubadilika na kuvaa hali ya utukufu. 3. Tukubali maumivu yote(tena)tujikane bilakusaza (tukane bila kusaza fahali) makusudi tuzisalimishe hizi nafsi zetu kwa mungu wetu.

0 views0 comments

Comentarios

Obtuvo 0 de 5 estrellas.
Aún no hay calificaciones

Agrega una calificación
bottom of page