top of page

Inasonga Mbele

Inasonga mbele injili, inasonga (ee, ee), inasonga mbele injili, inasonga mbele x2


Injili yenye Amani Inasonga, inasonga mbele injili, inasonga mbele

Injili yenye upendo Inasonga, inasonga mbele injili, inasonga mbele


Kwa wamama inasonga... Kwa wazee inasonga...


Kwa vijana inasonga… Kwetu sote inasonga...


Injili inafariji… Injili inadumisha...


Injili yenye wokovu… Injili yenye ushindi...

12 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page