top of page

Imbeni shangilieni

Harusi leo, harusi tuliyoingojea imefika, kwa vile wawili wameungana pamoja na kuwa mwili mmoja.


Imbeni shangilieni harusi ni siku ya kufurahi kwetu sote x2

Mbele yetu ni wawili waoana kihalali x2


Harusi ya kwanza ilikuwa katika bustani Edeni, wakati wazazi wetu wa kwanza walipoishi pamoja


Kuweni mfano mzuri kwa watu wanapowatazama, na Mungu atawabariki siku zote za maisha yenu.

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page