top of page

Ikatetemeka Nchi Yote


(Ikatetemeka nchi yote makaburi yakafunguka, (Giza) Giza likafunika nchi ikatetemeka ) x2 Na tazama akashuka Bwana, Mfalme wa Mbingu na dunia, Mwenye fimbo mkononi mwake, Ishara yake ni kuchunga kondoo (Chimbuko ni umoja, chimbuko ni upendo Matunda ni amani, ni amani) x2

  1. Tumshanglie kuhani, Kristu Bwana Mwokozi wetu, Kashinda dhambi na mauti, tuimbe aleluya

  2. Jiwe walilolikataa, waashi limekuwa, Limekuwa jiwe kuu, tena la pembeni

  3. Ni ushindi kubwa mno, ushindi, ushindi wa pekee, tuimbe aleluya

13 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page