top of page

Huu ni Wakati Sasa

Huu sasa ni wakati wakutoa sadaka yako usisite Mungu wako akuona usifiche. Toa ndugu toa, toa ndugu, toa ulicho nacho, mshukuru Mungu wako kwa mema yote.

  1. Mtolee shukurani zako Mungu wako….. kwa kutoa zawadi uliyo nayo………

  2. Ulivyo navyo amekupa yeye Bwana……… nawe kampa Bwana kwa shukurani……..

  3. Nafsi zetu na mali vyake Bwana……….. Haki kuvirudisha kwake Bwana ……..

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page