top of page

Huu ni Wakati

1. Huu ni wakati wa kutoa sadaka ndugu – toa sadaka x 2

Hili kwamba ubarikiwe x 2

Bwana Mungu x 4

Toa sadaka yako

2. Njooni na tutoe sadaka kwa Mungu wetu x 2

3. Na kwa moyo safi tutoe sadaka zetu x 2

4. Na akina Baba tutoe sadaka zetu x 2

5. Hata akina mama tutoe sadaka dada x 2

6. Pia na watoto tutoe sadaka ndugu x 2

7. Tutabarikiwa na sadaka zetu sote x 2

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page