top of page

Hossanna Mfalme wa Israeli


  1. Wakatwaa matawi matawi ya mitende wakatoka nje ili kwenda kumlaki, wakipiga kelele hosana hosana mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana

  2. Yesu alikuwa amepanda mwanapunda kama vile maandiko yanavyosema, usiogope ee binti Sayuni tazama mfalme wako anakuja kapanda punda

  3. Mambo hayo yalikuwa mageni kwa wote hata wanafunzi wake hawakufahamu, lakini Yesu alipokwisha kutukuzwa ndipo walipokumbuka ilivyoandikwa

  4. Ishara aliyokuwa ameifanya huko Bethania ilikua ya ajabu, ya kumfufua Lazaro aliyekufa hivyo wengi walitoka ili wamuone

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page