top of page

Hosana Mwana wa Daudi

Hosana mwana wa Daudi Hosana Mwana

wa Daudi, Hosana (Hosana). Mbarikiwa

anayekuja kwa jina lake Bwana Mungu,

Hosana (Hosana) Hosana Hosana Hosana

(Hosana Hosana Hosana Mwana wa Daudi) x2


Kweli hii ndio siku Bwana aliyoifanya na

tufurahie, mshukuruni Bwana Mungu kwa

maana fadhili zake ni za milele.


Mkono wa kuume wa Bwana umetenda

makuu na umetukuzwa, sitakufa bali

nitaishi na kusimulia matendo ya Bwana.


Jiwe walilolikataa ndilo Jiwe kuu la

pembeni, neno bali limetoka kwake

Bwana Mungu wetu.

5 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page